Kwetu Bongo :: Online Magazine / Newspaper

The Best Online Magazine Worldwide

Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume

by - 10 December 2016

TAARIFA njema kwa mashabiki wa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” ambaye Desemba 6, 2016, mpenzi wake Zarina Hassan “Zari The Boss Lady” amejifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Netcare iliyopo mjini Pretoria nchini Afrika Kusini. Mtoto aliyekuwa akisubiliwa kwa...

Entertainment

Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume

TAARIFA njema kwa mashabiki wa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” ambaye Desemba 6, 2016, mpenzi wake Zarina Hassan “Zari The Boss Lady” amejifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Netcare iliyopo mjini Pretoria nchini Afrika Kusini. Mtoto aliyekuwa akisubiliwa kwa hamu kubwa. #gallery-2 { margin: auto; } #gallery-2 .gallery-item { float:...

Politics

Mkapa Akataliwa Burundi

Wanasiasa wa upinzani nchini Burundi walio uhamishoni wamepinga jitihada za aliyekuwa Rais wa Tanzania za kutatua mzozo ulio nchini humo. Hii inajiri baada ya William Mkapa kuwaambia waandishi wa habari kuwa si jambo zuri kuendelea kutilia shaka uhalali wa Rais Pierre Nkurunzia. Nchi ya Buurndi ilitumbukia kwenye mzozo baada ya bwana Nkurunziza kutangaza kuwa angewania muhula wa tatu. Mamia ya watu...

Social

Waziri Mkuu asikitika na kifo cha faru John

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea taarifa inayoelezea utaratibu uliotumika kumhamisha faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary iliyoko kwenye Hifadhi ya Grumeti. Akizungumza katika kikao kilichofanyika nyumbani kwake Oysterbay leo mchana na kuhudhuriwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe na baadhi ya watendaji wa wizara yake, Waziri Mkuu...

Sports

Vilio vyatawala wakati wa kuagwa wachezaji wa Chapecoense, Brazil

Mji wa Brazil, nyumbani kwa timu ya Chapecoense iliyopoteza wachezaji wake kufuatia ajali ya ndege, ulikutana pamoja kutoa heshima zao za mwisho. Ndege iliyokuwa na wachezaji hao ilianguka Jumatatu hii nchini Colombia. Takriban watu 100,000 waliingia mtaani, nusu ya watu wanaoishi kwenye mji wa Chapeco na kuingia kwenye uwanja wa timu hiyo unaochukua watu 20,000. Mvua kubwa iliyonyesha, haikuwazua...

Technology

Clinton alaumu FBI kwa kushindwa kwake

Hillary Clinton amelaumu shirika la FBI kwa kushindwa kwake Aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais wa Marekani kwa tikiti ya Chama cha Democratic Hillary Clinton, amesema kwamba kushindwa kwake ghafla katika uchaguzi uliyopita, kulichangiwa pakubwa na hatua ya mkurugenzi wa shirika la kijesusi la Marekani FBI, James Comey kutangaza uchunguzi mpya wa sakata ya barua pepe dhidi yake muda mfupi kabla ya...

World

Donald Trump I’m Good with Gay Marriage Moderates Views on Immigration, Obamacare

Rais wa Marekani Donald Trump

Reince Priebus alionekana na Donald Trump usiku wa siku ya uchaguzi President-elect Donald Trump is breaking from his #2 on gay marriage and also moderating his views on immigration deportation and Obamacare. Trump had a chitchat with Lesley Stahl on “60 Minutes” Sunday and not only vowed not to mount a challenge to the SCOTUS decision validating gay marriage, he said he’s fine...

Kwetu Bongo Powered By : Tanzania Servers Group of Technology