Sports

Klabu ya Simba SC imetangaza maandamano

Imeandikwa na Admin

Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa watafanya maandamano ya kudai haki kutoka Shirikisho la mpira wa miguu nchini(TFF) siku ya Jumanne tarehe 25 mwezi huu.

Maandamano hayo yanatarajiwa kuanzia makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Msimbazi, Kariakoo kuelekea katika ofisi za Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo.

Klabu hiyo imedai kutoridhishwa kwa utendajia kazi wa TFF dhidi ya klabu hiyo kwakuwa imekuwa ikifanyiwa uonevu kwenye masuala mbalimbali ya soka.

Related Post