Entertainment

CHIDI BENZ – MR BLUE ALIKUWA HATAKI MIMI NIWEPO WCB WASAFI

Imeandikwa na Admin

Rapa mkongwe Bongo #ChidBenz amesema kuwa hana maneno na #Babutale japokuwa alikuwa anamzungumia vibaya kwenye Interview tofauti tofauti

#Chidi Benz amesema hayo akidai kuwa Babutale ana utaalamu wa kutafuta maisha kupitia mgongo wa mtu .
.
. “Mimi sina maneno na Tale sijagombana nae wala sijafanya chochote ni yeye tu Tale alikuwa akienda kwenye Interview alikuwa akinisema maneno yake sijui…chid karudia tena unga mimi nimeshindwana nae…yeye ndiye alikuwa akiongea hivyo ila mimi sina noma na Tale The best mtu ambae anaweza kutafuta maisha kupia mtu yani Tale yeye anaishi kwa kutafuta maisha kupitia kwa mtu anautaalamu huo”
.
.
.

Katika hatua nyingine Chidi Benz amedai kwamba Mr mblue alikuwa hataki muona yeye akiwa katika label ya Wasafi .
.
. “Mimi mdogo wangu Kabyser alikuwa ananiambia mimi bhana sitaki sipendi sipendezewi sihitaji sifurahishwi wala sihitaji kukuona wala kukusikia wewe pale, Serious! Aliniambia kabisa” .
.
.

Aidha Chidi Benz aliongeza kuwa WCB walimuhitaji ajiunge katika timu Yao.
.
.
TOA MAONI YAKO HAPA

Related Post