Entertainment

Umesikia alichokisema Wema Sepetu kuhusu shepu yake?

Imeandikwa na Admin

#MALKIA wa filamu za Bongo, #WemaSepetu amefunguka ya moyoni na kutupa jiwe gizani kwa wanaoumnanga kuhusu shepu yake, namna alivyoumbika.

#Wema #Sepetu amevunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno haya;
Shepu ya mwendokasi… Ndo niliojaliwa nayo… Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo… Kama wewe hauna basi mshukuru Allah… Ndo nilivyoumbwa jamani… Sio mimi bali ni Maulana ndo alionibariki nayo… Hata ingekuwa kwanzia kichwa hadi Vidole vya miguuni ni sawa pia… Ndo niliojaliwa nayo…. Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi… Ndo majaliwa yangu… Ndo yangu basi… Imenizidia… Allah Subhanah wataallah ndo amenipa… Aaaah….!? Sio shepu ya kawaida… Niacheni na Shepu yangu jamani… Ndo nishaimiliki mie… Siwezi kuitoa…. 🙄🙄🙄🙄

Related Post