Politics

CHADEMA wasema hawana imani na Jeshi la Polisi wala Serikali katika uchunguzi

Imeandikwa na Admin

#CHADEMA wasema hawana imani na Jeshi la Polisi wala Serikali katika uchunguzi wa kushambuliwa kwa #TunduLissu. Wataka wachunguzi kutoka nje.

Dkt. Mashinji

adema
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Mashinji amesema wao kama chama wanajiandaa kisaikolojia, Tundu Lissu akirudi sio yule #Tundu #Lissu alivyokuwa kwa maumbile yake; watampokea.

Related Post