Politics

katika Kamati ya Maadili na Madaraka yawataka Zitto Kabwe na Saed Kubenea

Imeandikwa na Admin

Spika Ndugai ameagiza Wabunge zitto Kabwe na Saed Kubenea wafike kwenye Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa.

Kubenea anatuhumiwa kuwa alisema Spika alilidanganya Bunge kuhusu idadi ya risasi alizopigwa Mbunge Tundu Lissu.

Zitto Kabwe anatuhumiwa kutamka kuwa Bunge limewekwa mfukoni na muhimili fulani.

Related Post