Entertainment Social

Mchekeshaji Mc Pilipili amepata ajali mbaya Shinyanga

Imeandikwa na Admin

Mchekeshaji @mcpilipili amepata ajali katikati ya Nyasamba na Bubiki mkoani #Shinyanga, Mpiga picha wa #MCPilipili (Lumato) ameongea nasi na kuthibitisha ajali hiyo.

Chanzo cha ajali walikuwa wanamkwepa mtoto aliekuwa anaendesha baiskeli, MC Pilipili amekimbizwa Mwanza kupata matibabu

Related Post