Politics Social

Mhe. Hawa Ghasia(Mb) ameitaka Serikali iifanye tohara kwa wanaume iwe lazima

Imeandikwa na Admin

BUNGENI, #DODOMA: Mhe. Hawa Ghasia(Mb) ameitaka Serikali iifanye tohara kwa wanaume iwe lazima ili kupunguza maambukizi ya UKIMWI.

Akijibu swali hilo, Naibu waziri wa afya Dkt. #HamisKigwangalla amesema serikali haiwezi kulifanya suala la tohara kwa Wanaume kuwa ni la lazima kwani suala la matibabu uhusisha hiari ya mtu.

Aidha mwanzo wa kikao hicho cha Bunge, Mbunge Mteule wa Viti Maalum kupitia chama cha Wananchi #CUF, Rehema Migila aliapishwa na kukamilisha nafasi ya nane ya wabunge walioteuliwa baada ya mmoja kufariki dunia.

Related Post