Entertainment

MOTO UMEWAKA KWA WEMA SEPETU

Imeandikwa na Admin

Kipindi Cha Hatari Cha @freetalkshow…unajua wamepuyanga wapi???

1.wamemtolea mapovuu Tanzania sweetheart @wemasepetu kuwa wamechoka kumuona ana vaa magauni ya samaki.
2. Wamemshindanisha @officialalikiba na @diamondplatnumz …Ndani ni Full mapovuu…cheki video hii ya Teaser KISHA drop comment yako hapa…… KUMBUKA Jumatano Hii kipindi hiki kinaRuka 🔥🔥ndani ya @tvetanzania :

Related Post