Social

Ofisi za Wanasheria wa Prime Attorneys yavamiwa

Imeandikwa na Admin

TAMBAZA, DAR: Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kufanya uharibifu katika Ofisi za Wanasheria wa Prime Attorneys.

Inadaiwa kuwa watu hao wametoweka na kabati la kutunzia nyaraka na fedha. Mawakili hao(Prime Attorneys) kwasasa wanafanya kazi ya utetezi katika kesi za Mfanyabiashara Yusuph Manji.

Related Post