Politics World

Rais Duterte wa Ufilipino ameamuru mwanae kunyongwa

Imeandikwa na Admin

UFILIPINO: Rais #Duterte amesema ataamuru Mtoto wake wa kiume auawe kama atathibitika anajihusisha katika biashara ya Dawa za Kulevya.

#PaoloDuterte anakabiliwa na tuhuma za kuhusika kuingiza nchini humo dawa aina ya Methamphetamine zanyethamani ya Dola Milioni. 125.

Related Post