Politics Social

Rais Magufuli amtembelea Meja Jenerali Mstaafu

Imeandikwa na Admin

DAR: Rais Magufuli amtembelea Meja Jenerali Mstaafu, Vincent Maritaba aliyelazwa Hospitali ya Lugalo baada ya kushambuliwa kwa risasi jana.

Tukio hilo limetokea jana jioni wakati Meja Jenerali Mritaba akiingia Nyumbani kwake Tegeta ambapo alivamiwa na watu wasiojulikana na kupigwa risasi. Yadaiwa alitoka benki.

Related Post