Entertainment Social

UJUMBE WA SHUKURANI KUTOKA KWA JOTI

Imeandikwa na Admin

@jotiofficial: Napenda kutoa shukurani kwa Mwenyezi Mungu 🙏kwa yote alionitendea,Maana haikuwa kitu raisi kwa mawazo ya kibinadamu kufikia hapa nilipo,Asante sana Mungu wangu…Najiuliza mie ni nani hata nishindwe kukushukuru..😩😩🙏🙏🙏

Related Post