Entertainment

Alikiba na Nandy wanyakua Tuzo za AFRIMA

Imeandikwa na Admin

Katika Tuzo za #AFRIMA zilizofanyika nchini #Nigeria, wasanii #AliKiba na #Nandy kutoka #Tanzania wameshinda jumla ya tuzo tatu

Ali Kiba alishinda tuzo mbili ambazo ni Msanii au Kundi Bora la RnB na Soul Afrika na Kolabo Bora Afrika kutokana na wimbo wa Aje alioshirikiana na rapa M.I, Nandy alishinda tuzo ya Msanii Bora wa kike upande wa Afrika Mashariki.

Related Post