Entertainment Social

Hivi Ndivyo Mahakama ilivyo itupilia mbali kesi ya Hamisa na Diamond

Imeandikwa na Admin

Wakili Walter Goodluck ambae ni Wakili wa #HamisaMobetto kwenye kesi dhidi ya Mwimbaji staa wa Bongofleva #DiamondPlatnumz ambapo amefunguka baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo.

Goodluck amesema “Kimsingi shauri halijafutwa na kimsingi sio kwamba Hamisa Mobetto ameshindwa hiyo kesi bali kilichotokea ni maswala ya uchapaji, kuna makosa ya kiuchapaji yalitokea na wenzetu wa upande wa pili wanaomuwakilisha Diamond waliweka pingamizi la kisheria kutokana na yale makosa ya uchapaji”
TOA MAONI YAKO HAPA

Related Post