Entertainment Social

Lulu amliza Hamisa

Imeandikwa na Admin

Haya ndiyo maneno ya #HamisaMobetto kwa #ElizabethMichael

#HamisaMobeto: Ni Mapito Tu aunty ake Fansy 🙏🏾💖
……. kinachoniuma Zaidi Ni how much
Fantasy amekuzoea 🙌🏾.
.
We are both not ready for that change katika maisha yetu.
MUNGU akupe Nguvu Na kukusimamia love .🙏🏾❤️
M/Mungu ampe Nguvu mama Yako katika kipindi hichi without forgetting Mdogo ako Iki ….sijui kama nitaweza kumuona bila kutokwa na machozi .😰
.
. 🙏🏾 am not ready baby 🙏🏾💖

Kuangalia Video zake Bonyeza Hapa

 

Related Post