Entertainment Social

Madee aibua jipya kuhusu Dogo Janja na Uwoya

Imeandikwa na Admin

Msanii wa muziki wa #Bongofleva #Madee amefunguka na kusema kuwa msanii #DogoJanja ambaye amemlea na kumtambulisha katika ulimwengu wa muziki alimficha sana kuhusu mahusiano yake na #IreneUwoya.

Madee amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha #Friday #Night #Live (#FNL) na kudai kuwa awali kabla ya kupewa taarifa ya msanii huyo kuoa walikaa karibu siku mbili wakijifikiria wanapelekaje taarifa hizo kwake na kusema siku alipoambiwa hakuamini hivyo ilibidi ampigie simu Irene Uwoya kwanza kutaka kujua kama kweli au Dogo Janja anataka kumpiga mzinga.

Related Post