Business Social

Mnada ulivurugwa na Dk Shika warudiwa kesho

Imeandikwa na Admin

Mnada ulivurugwa na Dk Shika warudiwa kesho: Baada ya mnada wa kuziuza Nyumba 3 za Lughumi kuharibika siku ya Nov 9, 2017, Leo Mkurugenzi wa Yono Sclostica Kevera ametangaza mashariti kwa wale watakaojitokeza.

Mnada unategemewa kufanyika siku ya kesho….

je Dr shika unahisi Atanunua nyumba hizi??? Au Atazingua tena???

Related Post