Entertainment Social

ROMA AMMWAGIA SIFA DK.SHIKA

Imeandikwa na Admin

Mwanahiphop Anayekalisha Kipande Cha #Tanga, #Roma Amefunguka Kuwa Uwepo Wa #DkShika Kwenye Video Ya Kiba Mia Kumenogesha.

Akiongea Na Clouds FM Roma Amesema kuwa “” Kuwepo Kwa Shika Kimefanya Kiwe kitu Kizuri Na Kupendeza Video Na Mapokezi Yake Kuwa Makubwa Mtaani”” Kiba_Mia Ni Ngoma Ambayo Imefanya Na Roma na Stamina Ambao Wanaunda Kitu Kinaitwa Rostam Humor Ndani Wanemshilikisha Mau Sama.

Related Post