Entertainment

Shilole akanusha kurudiana na Nuh Mziwanda

Imeandikwa na Admin

Baada ya Picha kuvuja na stori kuzagaa kuwa Nuh X shilole wamerudiana…. Shishi akanusha uvumi huo katika ukurasa wake wa Instagram… Ameandika ujumbe huu hapa chini :

Shilole:  Ulizani utanikomoa hiyo pic sio ya leo unaunga matukio ili kunigombanisha na mchumba wangu! Mashabaik wangu hiyo style ya nywele nadhan mnaijua napenda kuitumia! Alipangalo Mungu binaad

Related Post