Politics

ZITTO KABWE ALIWAHI KUTAKA KUNIPINDUA .

Imeandikwa na Admin

Mimi Sijamsaliti Zitto Kabwe, niko tayari kupambana naye kwenye ulimwengu wa siasa, hatujaanza kupingana leo, nakumbuka alitaka kunipindua wakati tukiwa chuo kikuu mimi nikiwa spika wa Bunge la wanafunzi yeye akiwa Waziri Mkuu lakini baadae tulirudi kufanya kazi katika serikali moja.

Nikiri kwamba sijazungumza na Zitto toka nimehama ACT, wala sikumpa taarifa juu ya mimi kuhama, sina tatizo na Zitto yeye ndiye alinitambulisha kwenye ulimwengu wa siasa, hata nilipotoka CHADEMA nilikaa mwaka mzima bila kuzungumza na Mhe Mbowe, lakini baadae tulizungumza maisha yakaendelea, siasa sio uadui.” – Alberto Msando

Related Post