Politics

Zitto Kabwe aomba msaada serikalini

Imeandikwa na Admin

Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia #ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, ameonyeshwa kushangazwa na kitendo cha serikali kutangaza mradi mkubwa wa ujenzi wa reli ya Standard Gauge huku vifaa vingi vikiagizwa kutoka nje ya nchi na kuomba msaada wa ufafanuzi.

Kwenye ukurasa wake wa facebook Zitto Kabwe ameandika waraka akitaka maelezo kutoka serikalini, ni kwa namna gani serikali inaendesha mradi mkubwa kama huo bila kuweka vifungu vya kufungamanisha na sekta nyengine nchini, na kudhamiria kuagiza chuma nje wakati nchi ina chuma ambacho bado hakijaanzwa kuchimbwa.

Related Post