Entertainment

Kuliko kumsoka shilole kwenye maisha yangu bora nife :- Uchebe

Imeandikwa na Admin

MCHUMBA wa staa wa mduara Bongo, #Zuwema #Mohamed ‘Shilole’, #Uchebe #Ashiraf amefunguka kuwa kuliko kumkosa Shilole kwenye maisha yake ni bora asiwepo duniani kabisa.

Akipiga mastori nasi, Uchebe alisema kuwa, pamoja na kwamba amegundua Shilole alirudisha mapenzi na bwana’ke wa zamani, Nuh Mziwanda lakini hayuko tayari kumuacha. “Ninajua amenikosea sana, lakini siko radhi kumuacha, ninampenda mno na niko radhi kupoteza maisha yangu kwa ajili yake au niuze chochote nilichonacho ili tu nimridhishe atakavyo,” alisema Uchebe. 

Related Post