Entertainment Social

Familia ya Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya“ Ndani ya IKULU na MAGUFULI

Imeandikwa na Admin

Mwanamuziki Nguza Vicking “#BabuSeya” na wanae Johnson Nguza “#PapiiKocha”, Francis Nguza na Nguza Mbangu walipofika Ikulu jijini Dar jana Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhadi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani tangia walipohukumiwa miaka 13 iliyopita.

                                                                     KUTAZAMA VIDEO BONYEZA HAPA

“Yaani sijui nisemaje, hapa nina furaha kubwa moyoni mwangu, nilikuwa naomba sana tangu muda mrefu nikutane nae, nimeomba sana sana, hatimaye leo nimefanikiwa na nimemwambia namshukuru sana kwa kutusamehe na sasa nipo tayari kuchapa kazi, Hapa Kazi Tu”- Nguza Viking “Babu Seya” baada ya kukutana na Rais Magufuli.

 

Related Post