Entertainment

Diamond Platnumz amekabidhiwa leseni ya kuendesha WASAFI TV

Imeandikwa na Admin

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo #Zanzibar akabidhi hati za Usajili wa Kituo cha TV na Redio cha #Wasafi Kwa Mmiliki wake Msanii Maarufu #diamondplatnumz katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar

#diamond na Team yake ndani ya Zanzibar mbioni kufanya usaili wa presenters kwaajili ya Wasafi TV Siku ya kesho

Related Post