Politics Social

SHEIKH MKUU AFUNGUKA KUHUSU MANGE

Imeandikwa na Admin

Kuna watu wanatafuta umaarufu kupitia midomo michafu, mimi siwezi kupigia kampeni #CCM sasa tunamwambia huyo anaejiita #mangekimambi acheze na watu wengine na sio viongozi wa dini huu ndio mwisho wake tutasema na mwenyezi Mungu na majibu mtayaona. – Al Haji Mussa Salimu.

#Shekhe huyo amjibu mwanadada maarufu mtandaoni @mangekimambi_ asema huu ndo mwaka wake wa mwisho kutumia mdomo wake kuwatukana watu haswa viongozi.

Tutafanya utaratibu wa kisheria kwa wale wote walioingia kichwakichwa kuandika habari ambazo hazina ukweli ikiwamo #jamiiforums na baadhi ya Magazeti nataka wanioneshe ukweli wa hiyo taarifa.

Related Post