Entertainment

Siri Nzito ya Ommy Dimpoz yafichuka

Imeandikwa na Admin

Mashabiki walikuwa wanahoji ni kipi hasa kilichompeleka Ommy Dimpoz nchini Uingereza mara baada ya kuonekana akihudia mchezo kati ya #ManchesterUnited na #Tottenham Hotspurs wiki iliyopita.

Ommy Dimpoz

Wakati mashabi wakijiuliza hilo, Ommy Dimpoz ameanza kujibu kwa vitendo maara baada ya kuonekana akiwa location na msanii wa Nigeria¬†Mr. Eazi. kupitia social network zake…Hii Inamaanisha Yupo location kikazi zaidi na Sio Vinginevyo.

Related Post