Entertainment Social

AMEANDIKA DIAMOND PLATNUMZ

Imeandikwa na Admin

“Nilipokuwa Zanzibar Nilibahatika KuPelekwa na Mh Waziri wa Habari, Utalii, Tamanduni na Michezo Mh Rashid Ali Juma
kuzitembelea Stusio Za Kisasa za Kurecordia Audio na Video zilizotolewa na Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein….Shukran sana Mh Rais kwa Mapenzi yako ya dhati kwa Vijana na Tasnia nzima.” #DIAMONDPLATNUMZ

Related Post