Entertainment Social

BABA DIMPOZ ASISITIZA KAMA AKIFA BASI OMMY DIMPOZ ASISHIRIKI MAZISHI

Imeandikwa na Admin

Nikifa Dimpoz Asinizike…. Baba #Dimpoz amefunguka kuwa, ikitokea siku ameaga dunia na Dimpoz akatangaza au kwenda Tabora kwa ajili ya msiba, watu watamkimbiza kwa kuwa hana ushirikiano nao na wanaona maisha anayoishi watamshushia kipigo cha aina yake.

“Mfano nikifa kama leo ni bora huyo Ommy asinizike au kuja Tabora maana watu watampiga na kwanza atasema ni nani wake amefariki dunia maana hivi niko hai hana ushikiano,” AMTAJA #WEMA #SEPETU “Ni kama Wema Sepetu anavyohangaika kutafuta mtoto, siku akimpata hata kama hamsaidii chochote atamshukuru tu Mungu hivyo na mimi huwa ninamshukuru Mungu maana nimeshamleta Omary duniani.

Related Post