Entertainment

Hawa ndo wasanii waliofungiwa na Basata

Imeandikwa na Admin

Baraza la Sanaa Tanzania #BASATA imetoa Orodha ya nyimbo zisizokuwa namaadili zilizotolewa na wasanii na kusambazwa katika vyombo mbali mbali vvya utangazaji na mitandao ya kijamii. Nyimbo hizo zimebeba maudhui yaliyo kinyume na maadili na kanuni za huduma za utangazaji(maudhui) 2005
Orodha ya Nyimbo hizo ni:


1.#Hallelujah – #DiamondPlatnumz
2. #Wakawaka – #Diamond Platnumz
3. #Kibamia – #RomaMkatoliki
4. #PaleKatiPatam – #NaywaMitego
5. #HainagaUshemeji – #Manfongo
6. #IamSorry #JK – #NikkiMbishi
7.#Chura – #Snura
8. #Temamatetumchape – #Madee
9. #Uzuriwako – #Jux
10. #Nampapapa – #GigyMoney
11. #Nampaga – Barnaba
12. #Makuzi – #NaywaMitego
13. #Nimevurugwa – #Snura
14. #BongoBahatiMbaya – #YoungDee
15. #MikonoJuu – #NaywaMitego

Related Post