Social

Madaktari wa Hospitali ya Kenyatta wasimamishwa kazi

Imeandikwa na Admin

KENYA: #Madaktari(baadhi) Hospitali ya #Kenyatta wasimamishwa kazi kwa kufanya upasuaji wa kichwa kwa mgonjwa asiyestahili

Walibaini kosa hilo wakiwa tayari wamempasua mgonjwa huyo na kugundua hakuwa na tatizo la kuvilia damu walilotakiwa kulitibu

Kosa hili limezua maswali na mjadala juu ya umakini na mtiririko wa hatua kabla ya kumfanyia upasuaji mgonjwa katika Hospitali hiyo kubwa nchini humo

Related Post