Social

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yawaka moto

Imeandikwa na Admin

Hitilifu ya umeme iliyotokea kwenye moja ya chumba katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesababisha mlipuko mkubwa ulioambatana na moshi

Inadaiwa kuwa mlipuko huo umezua taharuki Mahakamani hapo imesababishwa na mvua iliyonyesha

Related Post