Entertainment

Video Mpya ya Kasidi ft Tsuti yazua balaa mtandaoni

Imeandikwa na Admin

Msanii wa #HipHop nchini Tanzania #Kasidi (Daudi Kasidi) azua balaa mtandaoni baada ya kuachia video yake mpya ya NIAMBIE, aliyomshikirikisha msaani Tsuti.

Video hio yenye mvuto wa HD na Quality nzuri imeweza shika chart mwezi huu wa march kutokana na vionjo vilivyoko ndani, kwa kuitazama video hii Bonyeza Hapa ama unaweza kutembelea Youtube kwa kutafuta Officially Kasidi

Related Post