• Loading stock data...

Kwetu Bongo

Online Magazine

OKWI, NIYONZIMA, KOTEI CHUPUCHUPU SIMBA

SIMBA imebadili gia angani baada ya kuachana na uamuzi wao wa kuwapiga chini Haruna Niyonzima, Emanuel Okwi na James Kotei.

Habari za ndani zinasema kwamba Kocha Patrick Aussems ambaye kwa sasa yupo kwao akila bata, alipendekeza waachwe wachezaji sita wa kigeni hao hapo juu wakiwemo.

Lakini kutokana na mashindano ya Caf kuwa karibu na usajili ukitakiwa mapema viongozi wamemshauri na sasa watapunguza wanne wa kigeni.

Wakigeni watakaopigwa panga kwa sasa ni Asante Kwasi, Nicholas Gyan, Zana Coulibaly na Juuko Murshid.

Habari zinasema Kocha alitaka kuletewa majembe matano mapya ambayo ni imara tayari kwa Ligi ya Mabingwa Afrika na aliwahi hata kuliambia Championi Jumatano kabla hajaondoka nchini.

KIMYAKIMYA

Katibu wa Simba, Arnold Kashembe alisema; “Mipango yetu ya usajili inaendelea tu kama kawaida na ipo siku tutawaweka wazi wachezaji ambao tumewasajili lakini kamati ya usajili ndiyo wanaweza kujibu vizuri, kuhusu la Kaheza hilo siwezi kujibu kwani lipo ka

MIMBA YA TANASHA NA DIAMOND GUMZO
K- LYNN AFUNGUKA KATIKA 40 YA MENGI

Recommended
Rais John Magufuli atakuwa Mwenyekiti wa mkutano wa Jumuiya ya…
Please wait...

Subscribe to our newsletter

Want to be notified when our article is published? Enter your email address and name below to be the first to know.