MAMA MONDI AFUNGUKIA MADAI YA NDOA YAKE KUVUNJIKA

0
40

Sisi hatuwezi kuachana kwa mambo yasiyo kuwa na maana, tunapendana asikuambie mtu sasa waache wanafki waendelee kusambaza mambo ya umbea huko mitandaoni huku sisi yetu yanatunyookea.” Alisema Mama Diamond


Ikumbukwe kwamba Bi Sandrah anadaiwa kufunga ndoa ya siri na Shamte ambayo ilihudhuriwa na watu wachache na maalumu, pia katika mahojiano mara kwa mara amekuwa akikiri kufunga ndoa hiyo. Kabla ya kuwa na Shamte, Bi Sandra alishawahi kuwa na uhusiano na baba Diamond, Abdul Juma

‘They died in each other’s arms,’ migrant’s mother says
Ethiopian leader sobs at service for slain military chief