Tundu Lissu Avutwa Ubunge

0
25

BREAKING NEWS : MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amepoteza Ubunge, Spika wa Bunge, Job Ndugai ametangaza kumwandikia Mwenyekiti wa NEC Barua

Tundu Lissu
Spika wa Bunge, Job Ndugai

“Narudia, maana baadhi ya magazeti yanaweza kuandika Spika amfukuza, hapana, Katiba yetu inasema Mbunge yeyote husipofanya katika yale yaliyotakiwa kikatiba Ubunge wako unakoma na utaacha kiti chako,haufukuzwi na yeyote,wajibu wa Spika ni kumuandikia tu Mwenyekiti wa Tume”- SPIKA NDUGAI

Mawakili 14 serikali wamkabili Lissu
CCM YAFANYA MAAMUZI HAYA