• Loading stock data...

Kwetu Bongo

Online Magazine

DIAMOND AFICHUA SIRI YA TUKIO LA TAREHE 7/7 / 2019

Siku chache zilizopita mwanamuziki wa bongo fleva kutoka nchini Tanzania Diamond Platnumz na mama yake na mpenzi wake wakiwa photo shoot kupiga picha na kusema tukio kubwa linakuja sasa Diamond ameweka wazi kuwa siku ya tarehe 7/7/2018 itakuwa ni sherehe ya kuzaliwa kwa watu wawili ambao ni muhimu sana kwenye maisha ambao ni mama yake mzazi Bi Sandra pamoja na mpenzi wake Tanasha.

Diamond kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka kuwa ana furaha sana kuona mama yake na mpenzi wake wanashare tarehe moja ya kuzaliwa ambapo ameandika 

“Sikuwahi kufikiria kuna siku itatokea mwanamke wa maisha yangu atashare siku ya kuzaliwa na mama yangu kipenzi licha ya siku ya tarehe 7 mwezi wa 7 kuwa muhimu kwenye maisha yangu na nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwaonyesha ni kiasi gani nawapenda ndani ya siku hii tarehe 7/7/2019” 


Je zaidi ya birthday ya mama Dangote na Tanasha kuna kingine kitatokea?

Kane Brown dedicates song ‘Homesick’ to military families
WEMA ATOKA NA GONJWA GEREZANI

Recommended
BAADA ya kutupwa Mahabusu ya Segerea jijini Dar kwa wiki moja,…
Please wait...

Subscribe to our newsletter

Want to be notified when our article is published? Enter your email address and name below to be the first to know.